https://d1zah1nkiby91r.cloudfront.net/s3fs-public/akdn_covid-19_-_mask_guidance_-_swahili.pdf
Download (2.19 MB)
COVID-19 Barakoa za Kutupa baada ya Matumizi na Barakoa kutengeneza Nyumbani
Chapisho hili limelenga kutoa mwongozo juu ya matumizi ya barakoa zisizo za kitabibu au barakoa za vitambaa. Bidhaa zinazoelezwa katika chapisho hili si sawa na barakoa za kitabibu au barakoa za upasuaji za N95 ambazo zinapaswa kuhifadhiwa kwa ajili ya matumizi ya watumishi wa afya walio mstari wa mbele kuhudumia wagonjwa kama vile madaktari, manesi, wafanyakazi wa ambulensi, na wafanyakazi wote wanaotoa huduma kwa waathirika.