https://d1zah1nkiby91r.cloudfront.net/s3fs-public/akdn_covid-19_face_mask_cover-swahili.pdf
Download (2.19 MB)
Jikinge dhidi ya COVID-19: Vaa Barakoa
Uvaaji wa barakoa hupunguza uwezekano wa mtu aliyeambukizwa COVID-19 kusambaza virusi hivyo kupitia mate/majimaji ambayo husambaa kwa njia ya hewa wakati wa kuongea, kukohoa au wakati wa kupiga chafya. Majimaji
haya huvunjwa katika matone madogomadogo na kusambaa kwa njia hewa na kuambukiza watu wengine. Barakoa hufyonza majimaji ya mwathirika kabla ya kusambaa na kuambukiza watu wengine. Hii ni muhimu kwakuwa mtu 1 kati ya 6 ambao wameambukizwa virusi vya korona hawaonyeshi dalili za virusi hivi. Ni muhimu kukumbuka kuwa barakoa ikitumika kwa usahihi ni njia salama inayoweza kutumika na watu wote katika mikusanyiko.
Latest On AKDN
PUBLICATIONS